• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ilala Municipal Council
Ilala Municipal Council

The United Republic of Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Manispaa ya Ilala

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Core Values
    • Council Strategies
    • Mawasiliano
      • Wakuu wa Idara na Vitengo
      • Watendaji wa Kata
      • Maafisa Tarafa
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Administration and Personnel
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Agriculture, irrigation and Coperative
      • Livestock and Fisheries Development
      • Land and Planning
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Solid Waste Management and Environmental Conservation
    • Units
      • Legal
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Information Technology and Communication
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Administration Area
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
      • Historical Buildings
      • Landmarks
      • Museums and Art Galleries
      • Seafront Development
      • Libraries and Cultural Centers
    • Kilimo
    • Business and Marketing
    • Housing Area
    • Bus Stand
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Kifedha
    • Masoko
    • Usafirishaji
  • Madiwani
    • All Councilors
    • Council Committee
      • Town Planning and Environmental
      • Finance and Administration
      • Economical and Social Welfare
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ndogo za Halmashauri
    • Council Meetings
    • Mayor's Timetable
    • Orodha ya Mameya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria
    • By laws
    • Miongozo
    • Sera
    • Nyaraka
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Taratibu
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Bajeti ya Manispaa
    • Mpango Mkakati
    • Socio-Economic Profile
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
  • Wilaya
    • Majukumu ya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya

HALMASHAURI YA MANISPAA YA ILALA YAADHIMISHA SIKU YA MLIPA KODI

Posted on: November 26th, 2020

Na,Rosetha Gange 

Halmashauri ya Manispaa ya Ilala leo tarehe 26/11/2020 imeadhimisha siku ya mlipa kodi ikiambatana na utoaji wa elimu kwa mlipa kodi na ugawaji wa tuzo kwa wafanyabiasha na taasisi mbalimbali ambazo ni vinara wa kulipa Kodi na kuchangia mapato ya Halmashauri ya Manispaa ya Ilala.

Akihutubia katika hafla hiyo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Ndg.Jumanne Shauri aliwapongeza na kuwashukuru wafanyabiasha wote kwa mchango wao mkubwa kwa Manispaa ya Ilala kwani kupitia Kodi wanazolipa,Serikali inaweza kutekeleza mipango mbalimbali ya maendeleo mfano,ujenzi wa Barabara, zahanati na madarasa. Pia kupitia Kodi wanazotoa wafanyabiasharara wengine na wajasiriamali wadogo wanaweza kukopeshwa mitaji na kukuza biashara zao hivyo kuongeza mapato ya Halmashauri na kuleta maendeleo ya Taifa letu.

Akinukuu maneno ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh.Dr.John Pombe Magufuli kuhusu maendeleo ya nchi yetu alisema

 "Hakuna mtu atakayetusaidia maendeleo yetu watanzania.Maendeleo yetu watanzania tutayajenga sisi wenyewe kwa kutumia Kodi zetu wenyewe."

Aidha, amewataka walipa kodi hao kuendelea kulipa Kodi kwani ni kitendo Cha kizalendo na tuzo hizo walizopewa ziwe ni chachu ya kuendelea kuchangia mapato ya Halmashauri ya Manispaa ya Ilala hivyo kuleta maendeleo katika taifa letu.

Akitoa salamu za serikali mgeni Rasmi katika hafla hiyo,Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mh.Ng'wilabuzu Ludigija alitoa pongezi kwa wafanyabiashara wote waliopata tuzo hizo na kuwaomba wakawe mabalozi kwa wafanyabiashara wengine.Vilevile amewaahidi ushirikiano pale watakapokuwa na matatizo yoyote ofisi yake itakuwa tayari kuwasikiliza na kushughulikia ipasavyo.

Aidha, ametoa Rai kwa wafanyabiashara wote nchi nzima kufuata mifumo Rasmi ya ukusanyaji kodi iliyowekwa na serikali na sio kutumia watu wengine wa katikati ambao wanaweza kutumia njia za udanganyifu na mwisho kujikuta wanaingia matatani.

Mapato ya Halmashauri ya Manispaa ya Ilala yameweza kuongezeka kwa 10% ndani ya kipindi Cha miaka mitatu kutoka Billioni 46 mwaka 2017/2018 mpaka Bilioni 57 mwaka 2019/2020 na matarajio ya mpaka kufikia mwaka 2025 ni kukusanya Bilioni 100.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA- MANISPAA YA ILALA ( M ) 2020 November 21, 2020
  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA- MANISPAA YA ILALA ( V ) 2020 November 21, 2020
  • Sheria ndogo ya kudhibiti Ombaomba inayopendekezwa December 18, 2020
  • MALIPO YA KODI ZA MANISPAA KWA KIPINDI CHA ROBO YA PILI December 10, 2018
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AZUNGUZA NA WAZEE WA MKOA WA DAR ES SALAAM LEO KATIKA UKUMBI WA ARNATOGLOU MNAZI MMOJA.

    January 08, 2021
  • TAARIFA KWA UMMA

    January 07, 2021
  • Mkurugenzi Manispaa ya Ilala awaagiza Walimu Wakuu sekondari kukamilisha ujenzi wa madarasa

    January 07, 2021
  • Madiwani wa Ilala Waapishwa katika ukumbi wa Anatoglou

    December 10, 2020
  • Angalia Yote

Video

MANISPAA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Majengo ya Kihistoria
  • Video za matukio mbalimbali
  • Mradi wa maboresho ya mtaa wa Samora
  • Huduma za kifedha
  • Huduma za Usafirishaji
  • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Ratiba ya Vikao vya Halmashauri
  • Maadili ya Msingi ya Halmashauri

Viunganishi vinavyoelekeana

  • Tovuti ya Ikulu
  • Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Idara Kuu ya Takwimu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    1 Mission/Sokoine

    Anuani ya Posta: 20950 Dar es Salaam, Tanzania

    Simu: 2128800

    Simu ya Kiganjani: +255713537815 / +255

    Barua Pepe: info@imc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Siri
    • Kanusho
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 IMC . All rights reserved.