• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ilala Municipal Council
Ilala Municipal Council

The United Republic of Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Manispaa ya Ilala

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Core Values
    • Council Strategies
    • Mawasiliano
      • Wakuu wa Idara na Vitengo
      • Watendaji wa Kata
      • Maafisa Tarafa
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Administration and Personnel
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Agriculture, irrigation and Coperative
      • Livestock and Fisheries Development
      • Land and Planning
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Solid Waste Management and Environmental Conservation
    • Units
      • Legal
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Information Technology and Communication
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Administration Area
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
      • Historical Buildings
      • Landmarks
      • Museums and Art Galleries
      • Seafront Development
      • Libraries and Cultural Centers
    • Kilimo
    • Business and Marketing
    • Housing Area
    • Bus Stand
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Kifedha
    • Masoko
    • Usafirishaji
  • Madiwani
    • All Councilors
    • Council Committee
      • Town Planning and Environmental
      • Finance and Administration
      • Economical and Social Welfare
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ndogo za Halmashauri
    • Council Meetings
    • Mayor's Timetable
    • Orodha ya Mameya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria
    • By laws
    • Miongozo
    • Sera
    • Nyaraka
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Taratibu
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Bajeti ya Manispaa
    • Mpango Mkakati
    • Socio-Economic Profile
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
  • Wilaya
    • Majukumu ya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya

MKUU WA WILAYA YA ILALA AZITAKA TAASISI ZA SERIKALI KUSULUHISHA MGOGORO BONDE LA MTO MSIMBAZI.

Posted on: January 25th, 2021

Na,Judith Damas.

Mkuu wa wilaya ya Ilala Mh. Ng’wilabuzu  Ludigija ameziagiza taasisi za serikali  zikiwemo NEMC,TARURA,TANROAD,Bonde la mto wami  na idara ya mazingira Manispaa ya ilala kukutana na kuweza kujadiliana kuhusu zoezi la kutengeneza kingo katika bonde la msimbazi.

Mkuu wa wilaya Mh. Ludigija ameyasema hayo leo  tarehe 25  Januari 2021 alipokutana na wananchi wa kata ya Kipawa mtaa wa Stakishari katika ziara yake ya kutembelea bonde hilo la msimbazi ambalo limeleta changamoto kwa wananchi wa mtaa huo wakilalamika kuhusu zoezi hilo la kutengteneza bonde hilo  linavyofanyika .

Aidha wananchi wa eneo hilo  wakitoa malalamiko yao kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mh.Ng’wilabuzu Ludigija juu ya zoezi hilo linavyowaletea madhara makubwa ikiwemo mafuriko, kuharibika kwa miundombinu kama  barabara zao na kusababisha uharibifu wa miundombinu ya umeme kwani magari yanayopita katika eneo hilo ni makubwa na yanabeba mzigo mkubwa.

Akipokea hoja hizo za wananchi Mkuu wa Wilaya ya Ilala amewaomba wananchi hao wawe wavumilivu hadi taasisi hizo zitakapo kutana na kujadiliana kuhusu zoezi hilo.

“Naagiza taasisi  zote za Serikali ikiwemo TARURA,NEMC,TANROAD,Bonde la mto wami na idara ya mazingira Manispaa ya Ilala zikutane na zijadiliane kama zoezi hili linalofanyika lina tija katika kuzuia mmomonyoko na mafuriko,  na ifikapo Ijuumaa January 29/2021 nipate mrejesho kama zoezi hilo liendelee au lisitishwe ili kuzuia athari zitakazotokea”.amesema  hayo mkuu wa wilaya ya Ilala Mh. Ludigija

Aidha Mkuu wa wilaya ya Ilala Mh.Ng’wilabuzu Ludigija ameongezea kuwa ikibainika kama zoezi hilo lina tija kwa wananchi wa stakishari waliozungukwa na bonde la mto msimbazi taasisi hizo zikae na wananchi hao na kuwapa maelekezo juu ya umuhimu wa zoezi hilo ili waweze kuridhika na kutoa maoni yao.

Kwa upande wa Afisa mazingira Ndug.Shabani Manzi  amesema kuwa kitu kikubwa wanachokifanya ni kuzuia mmomonyoko wa ardhi na mafuriko kipindi cha mvua, hivyo anaamini zoezi hilo lina tija kwa wanaanchi wa maeneo hayo.

“Tulikutana na wawakilishi wa wananchi wakatuomba tuweke kingo katika bonde la mto msimbazi ili kuepuka athari zinazojitokeza kipindi cha mvua, naamini wananchi wote wanapenda zoezi hilo lifanyike ila hawapendezwi na namna ya zoezi hilo linavyofanyika hivyo tunawaahidi tutalifanya zoezi hilo ipasavyo”. Amesema hayo Ndug.Shabani Manzi.

Akiwatoa hofu wananchi wakazi wa stakishari Ndug. Zakayo Mgaya mmojawapo wa kampuni ya ORAL INVESTIMENT, amesema kuwa baada ya zoezi hilo kukamilika watahakikisha wanatengeneza barabara hizo na kuacha mazingira salama.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA- MANISPAA YA ILALA ( M ) 2020 November 21, 2020
  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA- MANISPAA YA ILALA ( V ) 2020 November 21, 2020
  • Sheria ndogo ya kudhibiti Ombaomba inayopendekezwa December 18, 2020
  • MALIPO YA KODI ZA MANISPAA KWA KIPINDI CHA ROBO YA PILI December 10, 2018
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • Rais Magufuli aweka jiwe la msingi ujenzi wa soko la Kisutu

    February 25, 2021
  • Madiwani Ilala wapitisha taarifa ya utendaji kazi kwa kipindi cha Oktoba hadi Disemba, 2020

    February 17, 2021
  • Kamati ya Uchumi na Huduma za Jamii Manispaa ya Ilala yafanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo

    February 01, 2021
  • MKUU WA WILAYA YA ILALA AKAGUA MASOKO KATA YA LIWITI

    January 27, 2021
  • Angalia Yote

Video

MANISPAA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Majengo ya Kihistoria
  • Video za matukio mbalimbali
  • Mradi wa maboresho ya mtaa wa Samora
  • Huduma za kifedha
  • Huduma za Usafirishaji
  • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Ratiba ya Vikao vya Halmashauri
  • Maadili ya Msingi ya Halmashauri

Viunganishi vinavyoelekeana

  • Tovuti ya Ikulu
  • Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Idara Kuu ya Takwimu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    1 Mission/Sokoine

    Anuani ya Posta: 20950 Dar es Salaam, Tanzania

    Simu: 2128800

    Simu ya Kiganjani: +255713537815 / +255

    Barua Pepe: info@imc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Siri
    • Kanusho
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 IMC . All rights reserved.