• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ilala Municipal Council
Ilala Municipal Council

The United Republic of Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Manispaa ya Ilala

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Core Values
    • Council Strategies
    • Mawasiliano
      • Wakuu wa Idara na Vitengo
      • Watendaji wa Kata
      • Maafisa Tarafa
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Administration and Personnel
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Agriculture, irrigation and Coperative
      • Livestock and Fisheries Development
      • Land and Planning
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Solid Waste Management and Environmental Conservation
    • Units
      • Legal
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Information Technology and Communication
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Administration Area
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
      • Historical Buildings
      • Landmarks
      • Museums and Art Galleries
      • Seafront Development
      • Libraries and Cultural Centers
    • Kilimo
    • Business and Marketing
    • Housing Area
    • Bus Stand
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Kifedha
    • Masoko
    • Usafirishaji
  • Madiwani
    • All Councilors
    • Council Committee
      • Town Planning and Environmental
      • Finance and Administration
      • Economical and Social Welfare
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ndogo za Halmashauri
    • Council Meetings
    • Mayor's Timetable
    • Orodha ya Mameya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria
    • By laws
    • Miongozo
    • Sera
    • Nyaraka
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Taratibu
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Bajeti ya Manispaa
    • Mpango Mkakati
    • Socio-Economic Profile
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
  • Wilaya
    • Majukumu ya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya

Rais Magufuli aweka jiwe la msingi ujenzi wa soko la Kisutu

Posted on: February 25th, 2021

Na: Waandishi wetu

Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dkt. JOHN POMBE MAGUFULI  ameweka jiwe la msingi  katika  soko  la kisutu  leo  Februari 25, 2021 katika  viwanja  vya  Mnazi  Mmoja  jijini  Dar es  salaam.

Akizungumza  katika hafla hiyo mheshimiwa Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania amesema “Nimeweka jiwe la msingi lakini pia nimelifungua soko la kisutu hivyo mkandarasi anatakiwa kwa tarehe alizopangiwa  ahakikishe anakabizi soko hilo kwani kazi hiyo ingetakiwa ikamilike tokea  mwaka jana”.

 Pia  Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dkt. John Pombe Magufuli ameleza kuwa masoko ni kungo muhimu sana katika mnyororo wa uzalishaji na biashaara, “ Kupitia masoko wakulima wetu wanaweza kupata mahali pakuuzia mazao yao na chakula kwa bei nzuri watanzania zaidi ya asilimia 70 ni wakulima hivyo kupitia soko hili ndio wakulima hao watakapo pata nafasi ya kuuza bidhaa zao na kujipatia riziki”.Amesema Mh Dkt.JOHN POMBE MAGUFULI.

Aidha, Raisi ameipongeza Manispaa ya Ilala kwa kupanda hadhi na kuwa Halmashauri ya  Jiji la Dar Es Salaam na kusema, “Mnastahili wala hamkupendelewa ni haki yenu kwasababu hata katika taarifa zilizotolewa na Waziri wa TAMISEMI  Mh.Selemani Jafo  kwamba hata katika ukusanyaji wa mapato  Ilala  ndio  inaongoza kwahiyo aliyekua  mstahiki Meya wa  Manispaa ya Ilala  ndio atakaekuwa Meya wa Halmashari ya Jiji la Dar es Salaam pamoja na Naibu Meya.  

Raisi ameahidi kutatua changamoto  zote za miundombinu zilizokua zinakabiliwa  na iliyokua Manispaa ya Ilala kuwa kwa sasa zitatatuliwa bila shida yoyote kwasababu bajeti itaongezeka tofauti na ilivyokua awali.

Vilevile, Waziri wa TAMISEMI Mh.Selemani Jafo amaipongeza iliyokua Manispaa ya Ilala kupandishwa hadhi kuwa Halmashauri ya jiji la Dar Es Salaam na pia aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala kuwa Mkurugenzi wa  Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam.

“Iliyokuwa mipaka y amanispa ya Ilala ukianzia ukonga, Segerea na Ilala maeneo hayo yote ambayo yanahusisha bandari ya Dar Es  Salaam, uwanja wa ndege wa Kimataifa  Ikulu ya  sasa  iliyokua ikulu  ya hapa Dar Es Salaam  na eneo lile Mkuu wa Wilaya ya Ilala alilokua akitawala  ilikua ikilitawala eneo hilo  sasa ndio mipaka ya Jiji la Dar Es Salaam”.Amesema hayo Mh.Jafo

Hivyo kutokana na ufunguzi wa soko hilo la Kisutu watu wengi watapata ajira na ukusanyaji wa mapato katika Jiji utaongezeka Kwa kiasi kikubwa.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA- MANISPAA YA ILALA ( M ) 2020 November 21, 2020
  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA- MANISPAA YA ILALA ( V ) 2020 November 21, 2020
  • Sheria ndogo ya kudhibiti Ombaomba inayopendekezwa December 18, 2020
  • MALIPO YA KODI ZA MANISPAA KWA KIPINDI CHA ROBO YA PILI December 10, 2018
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • Rais Magufuli aweka jiwe la msingi ujenzi wa soko la Kisutu

    February 25, 2021
  • Madiwani Ilala wapitisha taarifa ya utendaji kazi kwa kipindi cha Oktoba hadi Disemba, 2020

    February 17, 2021
  • Kamati ya Uchumi na Huduma za Jamii Manispaa ya Ilala yafanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo

    February 01, 2021
  • MKUU WA WILAYA YA ILALA AKAGUA MASOKO KATA YA LIWITI

    January 27, 2021
  • Angalia Yote

Video

MANISPAA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Majengo ya Kihistoria
  • Video za matukio mbalimbali
  • Mradi wa maboresho ya mtaa wa Samora
  • Huduma za kifedha
  • Huduma za Usafirishaji
  • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Ratiba ya Vikao vya Halmashauri
  • Maadili ya Msingi ya Halmashauri

Viunganishi vinavyoelekeana

  • Tovuti ya Ikulu
  • Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Idara Kuu ya Takwimu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    1 Mission/Sokoine

    Anuani ya Posta: 20950 Dar es Salaam, Tanzania

    Simu: 2128800

    Simu ya Kiganjani: +255713537815 / +255

    Barua Pepe: info@imc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Siri
    • Kanusho
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 IMC . All rights reserved.