• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ilala Municipal Council
Ilala Municipal Council

The United Republic of Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Manispaa ya Ilala

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Core Values
    • Council Strategies
    • Mawasiliano
      • Wakuu wa Idara na Vitengo
      • Watendaji wa Kata
      • Maafisa Tarafa
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Administration and Personnel
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Agriculture, irrigation and Coperative
      • Livestock and Fisheries Development
      • Land and Planning
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Solid Waste Management and Environmental Conservation
    • Units
      • Legal
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Information Technology and Communication
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Administration Area
  • Fursa na Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
      • Historical Buildings
      • Landmarks
      • Museums and Art Galleries
      • Seafront Development
      • Libraries and Cultural Centers
    • Kilimo
    • Business and Marketing
    • Housing Area
    • Bus Stand
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Kifedha
    • Masoko
    • Usafirishaji
  • Madiwani
    • All Councilors
    • Council Committee
      • Town Planning and Environmental
      • Finance and Administration
      • Economical and Social Welfare
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ndogo za Halmashauri
    • Council Meetings
    • Mayor's Timetable
    • Orodha ya Mameya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyo kwenye Mpango
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria
    • By laws
    • Miongozo
    • Sera
    • Nyaraka
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Taratibu
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Bajeti ya Manispaa
    • Mpango Mkakati
    • Socio-Economic Profile
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
  • Wilaya
    • Majukumu ya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya

Mradi wa Maboresho ya Mtaa wa Samora

Start Date: 2017-01-01
End Date: 2017-08-01

Mradi wa Maboresho ya Mtaa wa Samora jijini Dar es Salaam unafadhiliwa na Serikali ya Japan kupitia JICA ambao unagharimu jumla ya Dola za Kimarekani 400,000 na ulianza kutekelezwa mnamo mwezi Januari, 2017 na kukamilika mwezi Agosti, 2017. Mradi huu ni miongoni mwa miradi ya mifano ambayo imeandaliwa kwa pamoja na wataalam wa JICA na wa Taasisi mbalimbali za Serikali ya Tanzania zinazojihusisha na usafiri/usafirshaji katika Jiji la Dar es Salaam.

Lengo la Mradi:

  1. Kuboresha usalama barabarani na kuondoa msongamano wa magari kwa kutengeneza maegesho sahihi ya magari na njia za waendao kwa miguu.
  2. Kusaidia juhudi za Manispaa ya Ilala za kupendezesha mitaa ya Jiji kwa kupanda miti na kuweka taa za barabarani

Mbinu za Utekelezaji:

  1. Kuanzisha sheria za maegesho ya magari katika barabara kwa kutegemea nafasi zilizopo
  2. Kuondosha maegesho yasiyo rasmi na kuanzisha maeneo rasmi ya maegesho ya magari kwa kuzingatia sheria.
  3. Kutekeleza/Kusimamia sharia za maegesho ya mitaaani kwa kuweka alama na michoro ya maegesho katika mitaa.
  4. Kujenga njia za waendao kwa miguu kwa kuboresha njia hizo pamoja na upandaji wa miti.

Faida za Mradi:

  1. Kuboresha mazingira mazuri na salama ya njia za waenda kwa miguu kandokando ya Mtaa wa Samora.
  2. Mazingira mazuri ya maegesho ya magari yatachangia mapato na kupandisha thamani ya ardhi/nyumba.

Hasara tarajiwa za Mradi:

  1. Wakati wa ujenzi, mradi utasababisha wateja kupungua katika maeneo ya biashara.
  2. Idadi ya maegesho ya Mtaa wa Samora yatapungua wakati na baada ya ujenzi wa mradi.
  3. Kwa kiasi kidogo kutakuwa na athari za kimazingira ikiwemo kelele za mitambo na vumbi litokanalo na utekelezaji wa kazi za ujenzi.

    Hali Halisi ya Sasa ya mtaa wa Samora
    Matatizo na Changamoto


Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA- MANISPAA YA ILALA ( M ) 2020 November 21, 2020
  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA- MANISPAA YA ILALA ( V ) 2020 November 21, 2020
  • Sheria ndogo ya kudhibiti Ombaomba inayopendekezwa December 18, 2020
  • MALIPO YA KODI ZA MANISPAA KWA KIPINDI CHA ROBO YA PILI December 10, 2018
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • Rais Magufuli aweka jiwe la msingi ujenzi wa soko la Kisutu

    February 25, 2021
  • Madiwani Ilala wapitisha taarifa ya utendaji kazi kwa kipindi cha Oktoba hadi Disemba, 2020

    February 17, 2021
  • Kamati ya Uchumi na Huduma za Jamii Manispaa ya Ilala yafanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo

    February 01, 2021
  • MKUU WA WILAYA YA ILALA AKAGUA MASOKO KATA YA LIWITI

    January 27, 2021
  • Angalia Yote

Video

MANISPAA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Majengo ya Kihistoria
  • Video za matukio mbalimbali
  • Mradi wa maboresho ya mtaa wa Samora
  • Huduma za kifedha
  • Huduma za Usafirishaji
  • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Ratiba ya Vikao vya Halmashauri
  • Maadili ya Msingi ya Halmashauri

Viunganishi vinavyoelekeana

  • Tovuti ya Ikulu
  • Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Idara Kuu ya Takwimu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    1 Mission/Sokoine

    Anuani ya Posta: 20950 Dar es Salaam, Tanzania

    Simu: 2128800

    Simu ya Kiganjani: +255713537815 / +255

    Barua Pepe: info@imc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Siri
    • Kanusho
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 IMC . All rights reserved.